Kiongozi wa kundi la kitakfiri na kigaidi anayedaiwa kuitwa Abubakar
Shekau, ametokeza hadharani na kukadhibisha habari zilizoenezwa na
mitandao mbalimbali za kuuawa kwake na jeshi la Nigeria. Akizungumza
kupitia njia ya video yenye dakika 36 Shekau amesema kuwa, yeye angali
hai na kwamba wapiganaji wake wanaendelea kuikalia miji waliyoidhibiti
kutoka kwa jeshi la serikali ya Nigeria. Tarehe 24 mwezi uliopita, jeshi
la Nigeria lilitangaza habari ya kuuawa kiongozi huyo wa kundi la
kitakfiri la Boko Haram. Itakumbukwa kuwa, mwaka 2009 duru za kiusalama
nchini humo zilitangaza pia kuuawa kiongozi huyo anayeitwa Abubakr
Shekau, bila kutangazwa rasmi habari hiyo na jeshi la nchi hiyo. Boko
Haram ambalo ni kundi lenye misimamo ya kufurutu mipaka ya mafundisho
sahihi ya Uislamu, limeitumbukiza Nigeria kwenye dimbwi la machafuko na
mauaji sambamba na kuzusha hitilafu za kidini na kikabila nchini humo.
Baadhi ya weledi wa mambo wanasema Boko Haram lina mahusiano ya moja kwa
moja na viongozi wa juu wa serikali ya Nigeria wenye lengo la kutumia
hujuma za kundi hilo kufikia malengo yao ya kuendelea kusalia zaidi
madarakani.
IQRA FM RADIO
Thursday, October 2
Shekau: Sijauawa na jeshi la Nigeria ningali hai
Posted by mkachu |  Tagged as: Habari za kitaifa na kimataifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Andika Maoni
add
LEO KATIKA HISTORIA
TANGAZANASI
kwama Matangazo wasiliana nasi kupitia anuani zifuataz
Email:
iqrafmradio@gmail.cm
contact us:
0752925259
0762118805
infohttp:iqrafmradio.blogspot.com
uimara wa redio iqra upo mikononi mwako
>>Wote mnakalibishwa.....................................
Email:
iqrafmradio@gmail.cm
contact us:
0752925259
0762118805
infohttp:iqrafmradio.blogspot.com
uimara wa redio iqra upo mikononi mwako
>>Wote mnakalibishwa.....................................
ZILIZO SOMWA ZAIDI
-
Mwenyezi Mungu anasema: Niombeni nitakupeni. Zifuatazo hapa ni dua za baada ya nyakati mbalimbali za sala. Tunamuomba Mwenyezi Mung...
-
Mwenyezi Mungu anasema: Niombeni nitakupeni. Zifuatazo hapa chini ni dua 25 za Qur'ani Tukufu tulizozinukuu kutoka katika...
-
RATIBA YA VIPINDI KWA JUMA ZIMA RATIBA - JUMATATU MUDA KIPINDI MUHUSIKA 06:30-07:00 M...
-
Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, kuna udharura wa kuweko vita vya kimataifa dhidi ya magaidi. Rais Assad amesisitiza kwamba, kwa...
MITANDAO YA KIJAMII
TAFUTA HABARI ZILIZO SOMWA NYUMA
Powered by Blogger.
Author
CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...

Facebook
Twitter
RSS
0 toamaon yako: