Katika mfululizo wa operesheni zinazotekelezwa na jeshi la Syria za
kuyakomboa maeneo yanayodhibitiwa na makundi ya kigaidi, jeshi hilo
limefanikiwa kuukomboa mji wa kistratijia wa Ladhiqiyyah ulioko
magharibi mwa nchi hiyo. Jeshi la Syria limeidhibiti kikamilifu miji ya
Ainul-Jauzah, Ruwaisatul-Jaurah na miinuko ya kistratrijia ya mji huo wa
Ladhiqiyyah sanjari na kuwaangamiza makumi ya magaidi wengi wao wakiwa
na uraia wa kigeni. Aidha jeshi hilo limezidi kusonga mbele katika miji
kadhaa ya Hama ambapo linatumia vifaru na silaha nyingine nzito na
kuteketeza ngome za kuhifadhia silaha za makundi hayo. Aidha jeshi la
Syria limeendelea na operesheni zake dhidi ya magenge hayo ya kigaidi
katika mkoa wa Rif Dimashq. Hayo yanajiri katika hali ambayo John Allen,
afisa wa jeshi la Marekani katika Shirika la Kijeshi la NATO, amesema
kuwa nchi yake imeanza shughuli za kuyapa mafunzo makundi aliyoyaita
kuwa ni ‘wapinzani wa serikali wenye siasa za wastani’ na kusisitiza
kuwa, shughuli hizo zitaendelea kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa afisa huyo
wa kijeshi wa Marekani, shughuli hizo zitadumu kwa miaka kadhaa
IQRA FM RADIO
Thursday, October 2
Jeshi Syria lakomboa mji mwengine wa kistratijia
Posted by mkachu |  Tagged as: Habari za kitaifa na kimataifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Andika Maoni
add
LEO KATIKA HISTORIA
TANGAZANASI
kwama Matangazo wasiliana nasi kupitia anuani zifuataz
Email:
iqrafmradio@gmail.cm
contact us:
0752925259
0762118805
infohttp:iqrafmradio.blogspot.com
uimara wa redio iqra upo mikononi mwako
>>Wote mnakalibishwa.....................................
Email:
iqrafmradio@gmail.cm
contact us:
0752925259
0762118805
infohttp:iqrafmradio.blogspot.com
uimara wa redio iqra upo mikononi mwako
>>Wote mnakalibishwa.....................................
ZILIZO SOMWA ZAIDI
-
Mwenyezi Mungu anasema: Niombeni nitakupeni. Zifuatazo hapa ni dua za baada ya nyakati mbalimbali za sala. Tunamuomba Mwenyezi Mung...
-
Mwenyezi Mungu anasema: Niombeni nitakupeni. Zifuatazo hapa chini ni dua 25 za Qur'ani Tukufu tulizozinukuu kutoka katika...
-
RATIBA YA VIPINDI KWA JUMA ZIMA RATIBA - JUMATATU MUDA KIPINDI MUHUSIKA 06:30-07:00 M...
-
Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, kuna udharura wa kuweko vita vya kimataifa dhidi ya magaidi. Rais Assad amesisitiza kwamba, kwa...
MITANDAO YA KIJAMII
TAFUTA HABARI ZILIZO SOMWA NYUMA
Powered by Blogger.
Author

CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...
0 toamaon yako: