Wanamapinduzi wa Yemen wa Ansarullah wanaojulikana pia kama Mahuthi
wamewatia mbaroni wataalamu wa kijeshi wa Kibaathi wa Iraq huko mji mkuu
wa Yemen San'aa. Ali Qahoom, msemaji rasmi wa Mahuthi wa Yemen ameeleza
kuwa maafisa wa ngazi ya juu wa Kibaathi waliingia Yemen wakitokea Iraq
kwa lengo la kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Yemen na marubani wa kikosi
cha anga cha nchi hiyo. Wataalamu hao wa kijeshi wa Kibaathi wa Iraq
walikuwa wakishirikiana na Meja Jenerali Ali Mohsen al Ahmar, kaka wa
kambo wa dikteta wa zamani wa Yemen Ali Abdallah Saleh.
Msemaji rasmi wa wanamapinduzi wa Yemen ameongeza kuwa wataalamu hao
wa ngazi ya juu wa Kibaathi walikuwa wakishiriki pia katika mapigano
dhidi ya wanamapinduzi wa Yemen. Wanamapinduzi wa Yemen waliwatia
mbaroni maafisa hao wa Kibaathi wa Iraq baada ya kufanikiwa kuiteka
kambi ya kijeshi iliyokuwa ikisimamiwa na Meja Jenerali mtoro Ali Mohsen
al Ahmar mwezi uliopita wa Septemba.
Thursday, October 2
Wanamapinduzi Yemen wawanasa mabaathi wa Iraq
Posted by mkachu |  Tagged as: Habari za kitaifa na kimataifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Andika Maoni
add
TANGAZANASI
kwama Matangazo wasiliana nasi kupitia anuani zifuataz
Email:
iqrafmradio@gmail.cm
contact us:
0752925259
0762118805
infohttp:iqrafmradio.blogspot.com
uimara wa redio iqra upo mikononi mwako
>>Wote mnakalibishwa.....................................
Email:
iqrafmradio@gmail.cm
contact us:
0752925259
0762118805
infohttp:iqrafmradio.blogspot.com
uimara wa redio iqra upo mikononi mwako
>>Wote mnakalibishwa.....................................
ZILIZO SOMWA ZAIDI
-
Mwenyezi Mungu anasema: Niombeni nitakupeni. Zifuatazo hapa ni dua za baada ya nyakati mbalimbali za sala. Tunamuomba Mwenyezi Mung...
-
Mwenyezi Mungu anasema: Niombeni nitakupeni. Zifuatazo hapa chini ni dua 25 za Qur'ani Tukufu tulizozinukuu kutoka katika...
-
RATIBA YA VIPINDI KWA JUMA ZIMA RATIBA - JUMATATU MUDA KIPINDI MUHUSIKA 06:30-07:00 M...
-
Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, kuna udharura wa kuweko vita vya kimataifa dhidi ya magaidi. Rais Assad amesisitiza kwamba, kwa...
MITANDAO YA KIJAMII
TAFUTA HABARI ZILIZO SOMWA NYUMA
Powered by Blogger.
Author
CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...
0 toamaon yako: