Tanzania swahili radio

IQRA FM RADIO

IQRA FM RADIO
IQRA FM RADIO ELIMU NA MATENDO UIMARA WA RADIO IQRA UPO MIKONOMI MWAKO CHANGIA RADIO IQRA KWA MPESA 0762118805TIGO PESA 0658118804

Wednesday, October 8

130 wakamatwa Iran kwa kushirikiana na magaidi

Posted by mkachu  |  Tagged as:

 130 wakamatwa Iran kwa kushirikiana na magaidiWaziri wa Usalama wa Taifa wa Iran amesema kuwa, vikosi vya usalama hivi karibuni vimewatia mbaroni makumi ya watu wanaoshirikiana na makundi ya kigaidi na kitakfiri na kuzima mipango kadha ya kufanya mashambulio ya kigaidi  hapa nchini.
Sayyid Mahmoud Alavi amesema hayo akihutubia bunge na kuongeza kuwa zaidi ya wanachama 130 wa makundi tofauti ya kigaidi yanayojishughulisha katika baadhi ya nchi za eneo wamekamatwa katika operesheni kadhaa zilizofanywa katika miezi ya hivi karibuni. Ameongeza kuwa, maafisa wa usalama wa Iran pia wametoa pigo kubwa kwa baadhi ya vikundi vya kigaidi kama vile al Furqan na pia kuwasambaratisha wafuasi wake katika maeneo ya mashariki na magharibi mwa nchi.
Waziri wa Usalama wa Taifa wa Iran aidha amesema, kumekamatwa kiasi kikubwa cha mada za milipuko zilizokuwa zimepangwa kutegwa katika miji mitakatifu katika moja ya nchi jirani

0 toamaon yako:

Author

CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...

uislam na maisha yake

uzayuni

swahili radio

uislam na maisha

mohamed waziri

Subscribe to our Mailing List

We'll never share your Email address.
+255 (762) 118-805 mohamedwaziri295@gmail.com