Tanzania swahili radio

IQRA FM RADIO

IQRA FM RADIO
IQRA FM RADIO ELIMU NA MATENDO UIMARA WA RADIO IQRA UPO MIKONOMI MWAKO CHANGIA RADIO IQRA KWA MPESA 0762118805TIGO PESA 0658118804

Friday, September 26

Jumamosi, 27 Septemba 2014 09:50 Zarif, Kerry na Ashton wajadili tena kadhia ya nyuklia

Posted by mkachu  |  Tagged as:

Zarif, Kerry na Ashton wajadili tena kadhia ya nyuklia
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Dakta Mohammad Javad Zarif amefanya mazungumzo kwa mara nyingine na John Kerry, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani na Bi. Catherine Ashton, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na maendeleo ya duru ya saba ya mazungumzo ya nyuklia katika hoteli ya Waldorf mjini New York, Marekani. Hata hivyo ripoti rasmi ya kikao hicho haijatolewa. Hicho ni kikao cha pili kati ya pande tatu hizo katika hoteli hiyo baada ya kile cha awali kilichofanyika siku ya Alkhamisi. Sayyid Abbas Araqchi, afisa mwandamizi katika timu ya mazungumzo ya nyuklia na ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, amenukuliwa akisema kuwa, kikao cha awali cha pande tatu kilikuwa chanya na pande hizo ziliafikiana katika vipengee kadhaa licha ya kuweko hitilafu kubwa, hata hivyo akaelezea kuwepo uwezekano wa kurefushwa duru ya saba ya mazungumzo hayo ya mjini New York.

0 toamaon yako:

Author

CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...

uislam na maisha yake

uzayuni

swahili radio

uislam na maisha

mohamed waziri

Subscribe to our Mailing List

We'll never share your Email address.
+255 (762) 118-805 mohamedwaziri295@gmail.com