Tanzania swahili radio

IQRA FM RADIO

IQRA FM RADIO
IQRA FM RADIO ELIMU NA MATENDO UIMARA WA RADIO IQRA UPO MIKONOMI MWAKO CHANGIA RADIO IQRA KWA MPESA 0762118805TIGO PESA 0658118804

Monday, October 13

Saba wauawa kwenye mlipuko wa bomu Mogadishu

Posted by mkachu  |  Tagged as:

Saba wauawa kwenye mlipuko wa bomu MogadishuKwa akali watu saba wameuawa na wengine 15 kujeruhiwa baadhi yao wakiwa mahututi  baada ya bomu la kutegwa garini kulipuka mkabala wa mkahawa mmoja ulioko katikati mwa Mogadishu, mji mkuu wa Somalia. Polisi ya Somalia imesema kuwa, hadi sasa hakuna mtu au kikundi chochote kilichotangaza kuhusika na shambulio hilo, ingawa  kundi la al Shabab linashukiwa kwa kutekeleza shambulio hilo la kigaidi. Kundi la al Shabab wiki iliyopita lilitangaza kushadidisha mashambulio ya kigaidi nchini Somalia, baada ya kufurushwa kutoka katika mji waliokuwa wakiudhibiti.  Kanali Nour Farah Afisa mwandamizi wa Jeshi la Polisi nchini Somalia amesema kuwa, kuna uwezekano mkubwa kwamba shambulio hilo limefanywa na kundi la al Shabab. Viongozi wa kundi la al Shabab wanadai kuwa, serikali ya Somalia inapaswa kuangushwa kutokana na kuwa kibaraka wa madola ya  kibeberu ya Magharib

0 toamaon yako:

Author

CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...

uislam na maisha yake

uzayuni

swahili radio

uislam na maisha

mohamed waziri

Subscribe to our Mailing List

We'll never share your Email address.
+255 (762) 118-805 mohamedwaziri295@gmail.com