Tanzania swahili radio

IQRA FM RADIO

IQRA FM RADIO
IQRA FM RADIO ELIMU NA MATENDO UIMARA WA RADIO IQRA UPO MIKONOMI MWAKO CHANGIA RADIO IQRA KWA MPESA 0762118805TIGO PESA 0658118804

Thursday, October 2

Nigeria kuendeleza mashambulio dhidi ya Boko Haram

Posted by mkachu  |  Tagged as:

Nigeria kuendeleza mashambulio dhidi ya Boko HaramRais Goodluck Jonathan wa Nigeria amesisitiza azma ya serikali ya Abuja ya kukabiliana na kundi la Boko Haram la nchini humo. Akizungumza kwenye sherehe za kutimia miaka 54 ya uhuru wa Nigeria, Rais Jonathan ameongeza kuwa, suala la kulindwa maisha ya wananchi ni miongoni mwa mambo yanayopewa kipaumbele na serikali yake.
Rais Jonathan amesisitiza kwamba kundi la Boko Haram linapasa kupokonywa silaha. Inafaa kuashiria hapa kuwa, tangu mwaka 2009 kundi la Boko Haram limekuwa likitekeleza mauaji, utekaji nyara, uripuaji wa majengo ya serikali na kuharibu miundombinu nchini humo na kusababisha zaidi ya watu 2,000 kuuawa na mamia ya maelfu ya wengine kuwa wakimbizi.
       

0 toamaon yako:

Author

CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...

uislam na maisha yake

uzayuni

swahili radio

uislam na maisha

mohamed waziri

Subscribe to our Mailing List

We'll never share your Email address.
+255 (762) 118-805 mohamedwaziri295@gmail.com