

Watu 2 wauawa kwenye mlipuko wa bomu uliotokea karibu na wizara ya mambo ya nje ya Misri
(GMT+08:00) 2014-09-21 19:23:46


Gazeti la serikali ya Misri Al-Ahram limeeleza kuwa, watu hao wawili waliouawa ni askari wa Misri. Habari nyingine zinasema, idara ya usalama ya Misri inaona kundi la kiislam lenye msimamo mkali linalojiita Ansar Bayt al-Maqdis limehusika na mlipuko huo.
0 toamaon yako: