Tanzania swahili radio

IQRA FM RADIO

IQRA FM RADIO
IQRA FM RADIO ELIMU NA MATENDO UIMARA WA RADIO IQRA UPO MIKONOMI MWAKO CHANGIA RADIO IQRA KWA MPESA 0762118805TIGO PESA 0658118804

Saturday, September 27

Jumamosi, 27 Septemba 2014 10:05 Uingereza yajiunga na vita dhidi ya IS

Posted by mkachu  |  Tagged as:

Bunge la Uingereza 

 Uingereza itajiunga na kampeni ya mashambulizi nchini Iraq baada ya wabunge wengi wa taifa hilo kupiga  kura za kuunga mkono mashambulizi ya angani dhidi ya wapiganaji wa Jihad kutoka kwa kundi la Islamic state.
Ndege za kijeshi za Uingereza huenda zikajiunga na kampeni hiyo ya mashambulizi wikendi hii.
Wakati wa mjadala huo wa dharura katika bunge ,waziri mkuu wa Uingereza David Cameron alisema kuwa Uingereza ilifaa kuonyesha subra na uvumilivu badala ya mshtuko na hofu katika kukabiliana na tishio linalosababishwa na wapiganaji wa Islamic State.
Bado hakuna uamuzi wa kuongeza mshambulizi ya kijeshi dhidi ya kundi hilo nchini Syria,lakini muhariri wa BBC anayesimamia maswala ya kisiasa amesema kuwa Cameron ameonyesha kuwa yuko tayari kuunga mkono hatua kama hiyo.

0 toamaon yako:

Author

CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...

uislam na maisha yake

uzayuni

swahili radio

uislam na maisha

mohamed waziri

Subscribe to our Mailing List

We'll never share your Email address.
+255 (762) 118-805 mohamedwaziri295@gmail.com