Tanzania swahili radio

IQRA FM RADIO

IQRA FM RADIO
IQRA FM RADIO ELIMU NA MATENDO UIMARA WA RADIO IQRA UPO MIKONOMI MWAKO CHANGIA RADIO IQRA KWA MPESA 0762118805TIGO PESA 0658118804

Sunday, September 21

Afrika mashariki yalaani vikali mapigano yanayoendelea nchini Sudan kusini

Posted by mkachu  |  Tagged as:

Jumuiya ya Afrika mashariki imelaani vikali mapigano yanayoendelea kati ya waasi na vikosi vya serikali katika eneo la Renk, kusini mwa mji wa Malakal nchini Sudan Kusini.
Kauli hiyo inakuja mwezi mmoja tu baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya pande hizo mbili Agosti 25 mwaka huu. Mjumbe wa IGAD ambaye anaongoza upatanishi nchini Sudan Seyoum Mesfin ameeleza kusikitishwa na matukio hayo na kuzitaka pande zote husika kusitisha haraka mapambano nchini humo. Bw Mesfin amezitaka pande zote mbili kudumisha utulivu na kujizuia huku timu ya uchunguzi ya IGAD ikiendelea kuchunguza chanzo cha mapigano hayo nchini Sudan Kusini

Related Posts:

0 toamaon yako:

    Author

    CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...

    uislam na maisha yake

    uzayuni

    swahili radio

    uislam na maisha

    mohamed waziri

    Subscribe to our Mailing List

    We'll never share your Email address.
    +255 (762) 118-805 mohamedwaziri295@gmail.com