Tanzania swahili radio

IQRA FM RADIO

IQRA FM RADIO
IQRA FM RADIO ELIMU NA MATENDO UIMARA WA RADIO IQRA UPO MIKONOMI MWAKO CHANGIA RADIO IQRA KWA MPESA 0762118805TIGO PESA 0658118804

Sunday, October 12

Dunia yalaumiwa kutodhibiti Ebola

Posted by mkachu  |  Tagged as:

Shirika la madaktari wasio na mipaka wanaotoa huduma za kitabibu nchini za Afrika Magharibi dhidi ya Ebola limesema dunia inapaswa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na janga la ugonjwa huo.

Rais wa chama cha madaktari wasio na mipaka Medecins sans Frontieres Joanne Liu amesema anashindwa kuelewa kwamba ni kwanini ikiwa ni miezi
saba sasa tangu kulipuka kwa ugonjwa huo hadi ambapo hakuna hatua za haraka za kidunia

zilizochukuliwa hadi sana.
Amelinganisha hatua za kimataifa zilizochukuliwa wakati wa janga la tetemeko la ardhi la Haiti mwaka 2010 kwamba makundi ya misaada ya kibinadamu yalikusanyika katika eneo hilo kwa lengo la kutoa misaada ndani ya saa 48 tu sasa iweje katika janga hilo ambalo limeshachukua muda mrefu.

Rais Joanne amsema idadi ya watalaam 300 waliowasili Liberia kutoka Marekani ni ndogo hali ambayo inaonyesha wazi kuhitaji kwa wataalamu zaidi.

0 toamaon yako:

Author

CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...

uislam na maisha yake

uzayuni

swahili radio

uislam na maisha

mohamed waziri

Subscribe to our Mailing List

We'll never share your Email address.
+255 (762) 118-805 mohamedwaziri295@gmail.com